Arsenal wageni wa BATE Borisov - Europa League

Arsenal wageni wa BATE Borisov
Arsenal wageni wa BATE Borisov
Michuano ya Uefa Europa League inatarajiwa kuchezwa hii Leo kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya Makundi, miongoni mwa michezo ambayo inatazamiwa kuchezwa BATE Borisov wanacheza na Arsenal, Salzburg dhidi ya Marseille, Zenit wanawakaribisha Sociedad, Everton ni wenyeji wa Apollon, Locomotiv watakuwa ni wenyeji wa Fastav, Maccabi Tella Viv wanawaalika Vilareal , Lyon inamenyana na Atalanta .
Arsene WengerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionArsene Wenger
FC Astana ni wenyeji wa Slavia Prague, Partizan Beograd wanawaalika Dynamo Kyiv, Skenderbeu ni wenyeji wa Young Boys, FC Cologne watamenyana na FK Crvena Zvezda, AC Milan ni wenyeji wa Rijeka.
Arsenal wageni wa BATE Borisov - Europa League Arsenal wageni wa BATE Borisov - Europa League Reviewed by EXUPER ASSOCIATION on 21:25 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.