Kikosi cha Jose Mourinho kimetoa dozi nzito baada ya kuilaza CSKA Moscow kwa mabao 4-1, huku akiacha kilio kwa mashabiki wa klabu hiyo ya Urusi wakiwa nyumbani kwao. Mpaka kipindi cha kwanza Manchester United ilikuwa mbele kwa mabao 3-0 yaliyowekwa wavuni na wakali wa mabao Romelu Lukaku (2), Anthony pamoja na Henrikh Mkhitaryan. Mshambuliaji Lukaku huo ni mchezo wake wa saba akiziona nyavu za wapinzani tangu atue kwenye dimba la Old Trafford msimu uliopita wa usajili wa kiangazi katika jumla ya mechi 9 alizocheza huku akifunga jumla ya mabao 10.

Kikosi cha Chelsea kimeonyesha kuwa ni bora mbele ya Atletico Madrid baada ya kuwaadhirisha nyumbani kwao kwa mabao 2-1.
Chelsea walionyesha kwamba wanacheza soka la uhakika licha ya kuwa ugenini huku mchezaji wao wa zamani Diego Costa akishuhudia kipigo hicho akiwa jukwaani.
Antoine Griezmann aliipatia timu yake bao la kwanza ikiwa ni bao lake la kwanza kwenye uwanja huo mpya baada ya makosa yaliyofanywa  na David Luiz kisha kutolewa penalti.
Bao la Alvaro Morata la kusawazisha liliwarudisha Chelsea kwenye mchezo na baadaye Michy Batshuayi kufunga la pili na kukifanya kikosi hicho cha Antonio Conte kuibuka na ushindi.
Kikosi cha Jose Mourinho kimetoa dozi nzito baada ya kuilaza CSKA Moscow kwa mabao 4-1, huku akiacha kilio kwa mashabiki wa klabu hiyo ya Urusi wakiwa nyumbani kwao. Mpaka kipindi cha kwanza Manchester United ilikuwa mbele kwa mabao 3-0 yaliyowekwa wavuni na wakali wa mabao Romelu Lukaku (2), Anthony pamoja na Henrikh Mkhitaryan. Mshambuliaji Lukaku huo ni mchezo wake wa saba akiziona nyavu za wapinzani tangu atue kwenye dimba la Old Trafford msimu uliopita wa usajili wa kiangazi katika jumla ya mechi 9 alizocheza huku akifunga jumla ya mabao 10. Kikosi cha Jose Mourinho kimetoa dozi nzito baada ya kuilaza CSKA Moscow kwa mabao 4-1, huku akiacha kilio kwa mashabiki wa klabu hiyo ya Urusi wakiwa nyumbani kwao.  Mpaka kipindi cha kwanza Manchester United ilikuwa mbele kwa mabao 3-0 yaliyowekwa wavuni na wakali wa mabao Romelu Lukaku (2), Anthony pamoja na Henrikh Mkhitaryan.  Mshambuliaji Lukaku huo ni mchezo wake wa saba akiziona nyavu za wapinzani tangu atue kwenye dimba la Old Trafford msimu uliopita wa usajili wa kiangazi katika jumla ya mechi 9 alizocheza huku akifunga jumla ya mabao 10. Reviewed by EXUPER ASSOCIATION on 03:38 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.