
Kwa matokeo hayo sasa nafasi tano bora za juu katika msimamo wa ligi ya England Manchester city ni vinara sawa na Manchester United kwa usawa wa alama 16 ikiwa ni utofauti wa magoli ya kugunga na kufungwa, Chelsea ipo nafasi ya tatu, Tottenham nafasi ya nne na Liverpool ipo nafasi ya tano.
Westham United, A.F.C Bournemouth na Crystal Palace zinaburuza mkia
Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena jumatatu kwa mchezo mmoja pekee ambapo Arsenal watakuwa wakimenyana na West Bromwich Albion katika dimba la Emirates.
Brighton yaizamisha Newcastle United EPL
Reviewed by EXUPER ASSOCIATION
on
10:15
Rating: