![]() |
Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjaniJose Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani wakati wa mechi kati ya Manchester United Siku ya Jumamosi.
Meneja huyo na Manchester United alitumuliwa na refa Craig Pawson, kwa kuingia uwanjani wakati wa mechi ambayo Man U walishida kwa bao 1-0.
Baada ya kupokea ripopti ya refa, shirikisho la kandanda barani Ulaya la FA, liliamua kuwa halitachukua hatua zaidi dhidi yake.
Mourinho alipigwa marufuku mara mbili na shirikisho la FA msimu uliopita
|
Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani
Reviewed by EXUPER ASSOCIATION
on
10:21
Rating: