Nyanda alisema kutokuwepo kwa Saimon Msuva aliyekwenda kucheza soka la kulipwa nchini Morocco na kukukosena kwa Amiss Tambwe ni moja ya tatizo ambalo limewakumba Yanga mwanza wa msimu huu.
“Ukiangalia kwa makini katika misimu mitatu ambayo Yanga watachuikua ubingwa mfululizo, Tambwe ndio mfungaji bora wa muda wote,” alisema.
“Msuva ameacha pengo kubwa ambalo halijazibika mpaka leo kwani uwepo wake uwanjali alikuwa na uwezo wa kukupa vitu viwili kufunga na kutengeneza nafasi za wenzake kufunga,” aliseama Nyanda.
Msuva, Tambwe waitesa Yanga msimu huu
Reviewed by EXUPER ASSOCIATION
on
21:08
Rating: